Psalms 79:6-7


6 aMwaga ghadhabu yako kwa mataifa yasiyokukubali,
juu ya falme za hao wasioliitia jina lako,

7 bkwa maana wamemrarua Yakobo
na kuharibu nchi ya makao yake.
Copyright information for SwhKC